Monday, July 22, 2013

AFYA YA MANDELA

Serikali ya Afrika kusini imesema afya ya Mandera imezidi kuimalika.

AFYA YA MANDELA

Serikali ya Afrika kusini imesema afya ya Mandera imezidi kuimalika.

Thursday, July 18, 2013

SUMU ILIOUA WANAFUNZI INDIA

RIPOTI YABAINI SUMU: Wakati uchunguzi ukibaini sumu kwenye chakula kilichoua wanafunzi 22 India hapo juzi, leo maelfu wamesusia huduma hiyo ya bure mashuleni.

MANDELA ATIMIZA MIAKA 95

SIKU YA NELSON MANDELA: Leo Afrika ya Kusini wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa kwake. Rais Obama amtumia salamu za pongezi, ataka dunia kuheshimu mchango wake.Ni baada ya Nelson Mandela kutoka hospital na sasa yuko nyumbani.

KESI ZA ARDHI ZASIKILIZWA

KESI ZA ARDHI: Mahakama Kuu kitengo cha ardhi kupitia vikao maalum itasikiliza kesi zote za ardhi kuanzia 2004 hadi 2009 kwa siku 30 mfululizo na kutoa hukumu. Wenye kesi za ardhi zitasikilizwa.

CHAKULA CHAUA WATOTO INDIA

CHAKULA CHAUA 20: Watoto 20 wamekufa baada ya kula chakula cha mchana kinachosadikiwa kuwa na sumu wakiwa shuleni nchini India, wengine 28 wako hospitali.

BENKI YA BARCLAYS HATIANI

BARCLAYS HATIANI: Benki ya kimataifa ya Barclays yapigwa faini ya dola milioni 435 Marekani kwa kufanya hila na kupanga bei isivyo halali katika soko la umeme.Yasemekana benki hiyo iko hatiani kufilisika.

MGOMO WA WAALIMU KENYA WAFIKIA UKINGONI

MGOMO WA WALIMU WASITISHWA: Walimu Kenya wamesitisha mgomo wao na kurejea kwenye mazungumzo saa chache baada ya Serikali kutangaza kufunga shule zote za umma.ni baada ya Rais Kenyatta kutangaza kua waalimu ambao hawataenda kazini watakua wamejifukuzisha shule.

AJALI BASI LA AIR BUS

AJALI: Basi la Air Bus likitokea Tabora kwenda Dar limepata ajali eneo la Miseyu, Morogoro, watu 23 wamejeruhiwa wanne kati yao vibaya, chanzo ni mwendo kasi. "Mabasi yanatakiwa kupunguza mwendo pindi yanapokua barabarani kwani basi hilo lilikua kasi sana" asema mmoja wa majeruhi

AJALI BASI LA AIR BUS

AJALI: Basi la Air Bus likitokea Tabora kwenda Dar limepata ajali eneo la Miseyu, Morogoro, watu 23 wamejeruhiwa wanne kati yao vibaya, chanzo ni mwendo kasi. "Mabasi yanatakiwa kupunguza mwendo pindi yanapokua barabarani kwani basi hilo lilikua kasi sana" asema mmoja wa majeruhi

Wednesday, July 10, 2013

Wema tena

Wema Sepetu kwenye headlines tena, ni huu muonekano mpya yani…

Wema tena

Wema Sepetu kwenye headlines tena, ni huu muonekano mpya yani…
KASEM's blogTunawapa pole wasanii hawa: prof Jay na mdogo wake Black Ryhno kwa kumpoteza mama yao pamoja na Z Anto ambae imeripotiwa amempoteza mama yake kwa saratani ya ini.
Yahoo!InboxContactsCalendarFoldersRefreshComposeKassim Seif8 mins agoRe: nakuona umetokelezeaKawaida 2 vjana -----------...FacebookJun 11Reminder: Kasem Ksm invited you to join Facebook...Kasem Ksm wants to be your...Kassim SeifMay 18Re: nakuona umetokelezeaNyie vp cm2teme. Kha On 5/1...FacebookMay 2Reminder: Kasem Ksm invited you to join Facebook...Kasem Ksm wants to be your...kassimseif21@ovi.comApr 23HelloVp kaka mbona kimyaFacebookApr 17Reminder: Kasem Ksm invited you to join Facebook...facebook Kasem Ksm wants to...Kasem KsmMar 31Join me on FacebookHi Kassim.seif, Join me on...Yahoo! Accounts TeamMar 26Reminder: Add your account recovery optionCan't see images? View on a...Scott TurtonMar 14EducationOnlineForComputers Profile UpdateHello Seif, Here are your l...Scott TurtonMar 14Email ConfirmationPlease confirm email addres...NewerOlderPlease give us your feedbackHi, Kassim.Set Your LocationSign outPrivacy|Legal|Help© 2013 Yahoo! Inc. All rights reserved