Thursday, July 18, 2013

AJALI BASI LA AIR BUS

AJALI: Basi la Air Bus likitokea Tabora kwenda Dar limepata ajali eneo la Miseyu, Morogoro, watu 23 wamejeruhiwa wanne kati yao vibaya, chanzo ni mwendo kasi. "Mabasi yanatakiwa kupunguza mwendo pindi yanapokua barabarani kwani basi hilo lilikua kasi sana" asema mmoja wa majeruhi

No comments:

Post a Comment