Sunday, November 10, 2013

Tumia uwezo wako wa kufikiri.

Tumia uwezo wako wa kufikiri.
Nguvu ya pekee uliyonayo ni ya‘’KUFIKIRI’’.Tambua kuwa una uwezo mkubwa wa akili ambapo kama ukitumia akili yako vizuriunaweza ukabadilisha maisha yako kufikia mahali bora kimaendeleo unapopotaka.
Kila mtu anaweza kujifunza namna ya kushirikisha akili na kile anachotaka kufanyakwa ufahamu wa kutaka kushinda analokusudia. Labda unatakauhuru, amani, upendo , mali au afya njema na kwa kuwa una nia thabiti ni wazi kuwa utafanikiwa.
Watu wengi hushindwa kufanikiwa katika mambo yao kwaajili ya kukosa dhamira ya kweli kwa kile wanachotaka. Kama utaweka ufahamu wa kufanikiwa kwenye akili yako ni rahisi kwako kuona fursa nyingi za kupata unachotafuta.
Tumeumbwa tuishi maisha tunayoyataka kwa uhuru, afya njema, kutafuta na kupata mali ili maisha yetu kuwa rahisi lakini kama tu tutaweka nia na jitihada endelevu zitakazotupelekea kufaulu na kushinda changamoto kabla ya kufanikiwa. Nasema hivi nikiwa na maana mafanikio huja kwa kuwa na fikrachanya za kuamini utafanikiwakama utaweka juhudi zako binafsi na kuwa na moyo wa kuendelea kutafuta.
Fikra zetu ni zana za kimaendeleo katika maisha yetu zinazoweza kukufanya uwe na faraja ,amani, uwezo wa kupata mali au umasikini. Kama maisha yako sio kama unavyotegemea yawe basi ujue kuna tatizo la kimazingira linalokukwamisha kufanikiwa mfano- Mazingira duni kiuchumi,migogoro ya kifamilia ,ukosefu wa elimu na maarifa au fikra ambazo sio sahihi za kutotambua rasilimali zinazokuzunguka na hujitendei haki kutojitambua na kubadilisha maisha yako.
Kama unataka badilisha maisha yako badilika kwanza kimawazo na mambo mengine yatafuata muelekeo unaotaka. Una uwezo wa kuchagua utafikri kufikiri, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kukufanya kutofikiri utakacho bali ni wewe tu. Ni jukumu lako kufikiri utakavyo kwakuwa wewe ndio rubani wa fikra zako na maisha yako.
Chukua muda wa kutosha kutafakari mambo yatakayo kuletea majibu mazuri. Kamwe usifikiri mambo ambayo hutaki yatokee maishani mwako. Usifikiri mambo ambayo hayanatija mfano mambo ambayo unajua hayawezekani kwako. Kama hutaki kuwa mjinga basi kamwe usifikiri kuwa wewe ni mjinga bali jiamini wewe ni mwenye akili na uliye bora. Kama wewe hutaki kumpoteza mpenzi wako basi kamwe usifikiri kumwacha au kuachwa na yule umpendaye.
Kwa kufikiri vizuri mambo haya yanaweza kukubadilisha kitabia .
-Usiwe mtu wa kuongea hovyo bila kutafakari unachokiongea, kabla ya kuongea jua unataka kuongea nini.
-Kabla ya kutenda chochote,fikiri kwanza. Kwa kufanya hivi utaepuka kufanya makosa yanayoweza kuepukika.
-Kabla ya kuanza safari jua mwanzo na mwisho wa safari. Hapa nina maana usianze kufanya shughuli yoyote kabla ya kujua mwisho wake.
Yote ya yote usiyape nafasi mawazo ya kukubomoa, chagua kufikiri kwa busara na umakini kuhusu maisha yako. Fikra ni nguvu . Kila unapofikiri unaongeza uwezo wako wa ufahamu.Je ni nini au ni kipi cha kufkiri ? Jawabu unalo wewe mwenyewe.
Kila kitendo na hisia ni kichocheo kitokanacho na fikrazako. Mwisho tumia muda wako mwingi kufikiria mamba ambayo yanawezekana na kukujenga kimaendeleo. Ni swala tu la kufanya mazoezi na kutafakari ili kuongeza ufahamu wako.
REMEMBER:‘’Once you ‘ve learned and known to master your thoughts, you become the master of your life.’’

Ways of finding life that you wish to live. part two

Ways of finding life that you wish to live.

18. Brainstorm and write.
-Think about all of the possible action steps you will need to take to get you from here to there (once you have done your research). Make one big long list, then go back and prioritize and order the list. Break down each action step into the smallest possible steps.
19. Set up a calendar.
- Start building your planning calendar by assigning the above action steps to specific days or weeks. Allow yourself time for setbacks, interruptions, or changes.
20. Keep communicating.
- Remember to keep those close to you involved and in the loop. You may meet some resistance. Think ahead about this possibility and how you will handle it. What is the bottom line for you? For them? Keep the lines of communication open.
21. Decide about your current job.
-Be sure to include as part of your action steps how you will move from your current job into your new one. Will you continue working at your old job as you start your new work? How and when will you discuss this with your employer? Be sure to leave on a good note and handle things professionally so you can maintain those ties.
The Process.
22. Stay financially prepared.
-Depending on what you are doing, you may not bring in much money at the beginning of a new career. If you’ve done your planning, you are prepared with savings and/or extra income streams. Keep an emergency fund available and a list of contacts for extra work if necessary.
23. Juice up your motivation.
-It is natural when you move from something safe and secure to the unknown to feel fear and lose motivation at times. Stay on top of that by reading motivational books or listening to audiobooks. Continue to research and read about successful people in your field.
24. Expect setbacks.
-Count on setbacks happening several times during the process of putting your passion to work. The path isn’t linear. You will have bumps in the road. If you accept that from the get-go, it won’t be a surprise when it happens.
25. Take daily action.
-Thinking, planning, fretting, and pontificating only go so far. Only daily, focused action will move you forward. If you don’t know what to do, just do something.
26. Enjoy yourself!
-You are working toward something amazing — the life you are creating. This is your heart’s desire, and although you haven’t reached it yet, every action you take is carrying you closer. Relish each and every action, because the process can be just as exciting as the end result.
Final Thoughts.
Remember, uncovering your passion and making it real in your life is a process. Continue to take daily action toward your dream, refining and shifting as you learn more about yourself and deal with the natural challenges that are inherent in any life change. Keep your vision of a passionate life in the forefront of your mind, and before you know it, you will wake up one day and realize your are living your dream.
Your turn…
What life passion do you dream about? What do you want to spend more time doing with your life? Knowing about your true self is the beginning of wisdom.

Ways of finding life that you wish to live.

Ways of finding life that you wish to live.
Have you dreamed of doing something big with your life? Are you longing to find your passion — something that makes you come alive? We all want to live a passionate, purposeful life, but most people have no idea how to go about doing that. How do you know what your passion is or if you’ve chosen the right path? How do you recreate the life you have now to build the amazing life you want to have?
Don’t be disheartened, because it is so worth it. And once you make the decision to work toward your passion, you’ll find the daily actions you take to get there offer so much satisfaction on their own. There are so many considerations, decisions and potential roadblocks. Here are some few tips to consider....1. Write a vision.
-Write down exactly what you want your life to look like at the end of this process, in every area of your life. Post the vision where you can see it every day. You can revise it along the way if you want.
2. Examine your current life.
-You’ve been focused on what you don’t like about your life, but examine your current life to see how much of it matches your vision. You want to maintain those things and remember that part of your vision is already happening.
3. Define your values.
-Make sure you’re clear on your core values for your life. Every decision you make about your passion and how you want your life to look should support or reflect those values.
4. What are you tolerating?
-What in your current life are you just tolerating? What drains your energy or constantly bugs you? Start addressing these things one by one to make room for the new, good stuff coming your way.
5. Get rid clutter.
-Not only physical clutter but the clutter of too many distractions, activities and commitments that suck your time and energy.
6. Refine your relationships.
-Look at all of your close relationships, both personal and professional. Are there any that drain you, upset you, or cause you problems? How can you release these people or change your relationship with them to make room for important, new relationships?
7. Make an appointment.
-Set a daily or thrice weekly appointment with yourself to work on your life passion actions. If you don’t set aside the time for the work, you will never reach your goal.
8. Communicate.
-Talk with the people in your life who need to know what you are working toward. If your passion is threatening to a spouse or loved one, provide assurances that you are planning carefully. You will need their buy-in and support.
Finances.
9. Save money.
-Begin putting money aside in a savings account. You may need this as you transition toward your new life — for education, to get a business started, or to sustain you financially as you transition.
10. Decide your income.
-Determine your lowest acceptable yearly income. To do this, you will need to know how you spend your money, where you can cut back, and how long you are willing to live at this income level.
11. Find other income streams.
-Start thinking about ways you can bring in extra cash in a pinch. Even if you transition from one full-time job to another, it’s always good to have a back-up plan.
Research.
12. Start reading.
-Read everything you can about your passion or passions. Look at how other people have translated that passion into a career. Make notes about anything that seems interesting or relevant to you.
13. Refine your search.
-As you begin reading and researching, you may find one or more career options that jump out at you. Deepen your research on those topics to find out exactly what kind of education is needed, who is already successful in this area, what kind of salary you could make, how long it would take to become proficient in this area.
14. Find a mentor.
-Find one or two people who are doing what you want to do and doing it well. Connect with them. Send an email to ask for their advice. Make a list of questions you want to ask.
15. Refine further.
-As you learn some of the specifics of making a profit from your passion, do more research on what needs to be done to take those actions. This may be an on-going process as you are learning or transitioning.
16. Take some assessments.
-Whether or not you are pursuing self-employment or working in a team environment, it’s useful to take a career personality test, an entrepreneurial aptitude test, and an emotional intelligence test. These will help you see where you might run into difficulties and what you are most well-suited for.
Transition.
17. Take action.
-Taking the first real action toward your dream is scary. It might be signing up for a course, taking out a loan, volunteering, or buying an instrument. This is the first action that says to you, “I’m committed to changing my life.” You may not feel 100% sure that your first step is the right step, but you have to take it to find out. So set a date and take it.

Mbinu tano (5) za kuongeza tija kwenye kazi.

Mbinu tano (5) za kuongeza tija kwenye kazi.
Natumaini utakuwa mwenye nguvu, afya njema na mchangamfu, leo nataka nikukumbushe mambo haya yatakayo kuongezeatija katika kazi zako na maisha yako kiujumla. Kanuni moja na nzuri ya kuongeza tija katika kufanikisha au kupata matokeo makubwa ni hiiMAFANIKIO MAKUBWA YENYE TIJA = JUHUDI + FARAJA KATIKA KAZI YAKO.
Kanuni hiyo itakusaidia kusonga mbele kimaendeleo na kuongeza ufanisi wa kazi zako, kuwa na faraja kwa kitu unachofanya huchochea uwajibikaji na uhodari wa utendaji wako kazi. Ndio maana kujua nini unapenda kufanya ni muhimu sana kwenye mafanikio kwa kuwa faraja hutia mbolea ya matumaini na hukupelekea wewe kutaka kutenda mambo makubwa zaidi na mazuri katika kazi unayoifanya.
Zingatia mambo haya,
11.Kuwa na sababu nyingi za kutopata mafanikio kutakufanya ukwame na kudumaza utendaji wa kazi zako. Epuka kuwa na visingizio vingi vya kutokuwa mtendaji mzuri wa kazi zako.
22.Huwezi pata matokeo mapya na mazuri ikiwa utaendelea kufanya maamuuziya zamani. Kila siku kuwa na mawazo mapya na mbinu mpya za kukujenga na kuongeza ufahamu wako wa kazi unayoifanya.
3.Kama bado hufurahii kazi ya mikono yako au kazi unazofanya basi ndoto zako bado ni ndogo. Utakapotafuta au kujishughulisha na kugundua umepata kazi nzuri unayoipenda ni mwanzo mzuri wa kutafuta mambo mengi zaidi ya maisha yako kama vipaji vyako, uzuri wako na uwezo wako wa kufanya mambo makubwa zaidi.
4.Watu wenye mafankio huwekeza mara 10 zaidi kwenye kujifunza na kutafuta maarifa ya kujiendeleza na kujikuza kimaarifa na hiyo ndiyo siri kubwa ya kufanya kazi vizuri na kwa ubora. Ujuzi wa kazi ni zana kubwa ya maendeleo ya kazi yako, jifunze kila unapopata nafasi kwa manufaa yako ya hapo baadae.
5. Weka msimamo katika kazi yako kwa kufuatilia kitu kimoja mpaka umalize na kushika kingine. Jambo nzuri hufanikiwa kwa ustahimilivu wa utendaji wa kazi mpaka mwisho, usianze kitu na kuacha labda uwe na sababu ya msingi.
WORD OF THE DAY:''Boost your productivity by taking action immediately after setting a target even without perfect plans. Adjust your course along the way.''

Namna ya kupunguza matumizi ya fedha.

Namna ya kupunguza matumizi ya fedha.
Kujua kiasi gani unachoingiza mfukoni kwa siku na jinsi unavyotumia pesa zako ni swala muhimu sana. Ukitaka kujua umuhimu wa kutunza akiba ya fedha unazochuma kwa matumizi yako ya baadae ni pale unapoishiwa pesa kabisa na kushindwa kujikimu. Hapa ndipo mtu huyo aliyeishiwa kama asipotumia busara katika kutafuta njia sahihi na mbadala za kumwezesha kuondokana na hali yake ya kutokuwa na pesa huzaa matatizo mengine kama kuwa na madeni lukuki, kuuza mali zake ili afiidie kupata mahitaji yake mengine muhimu nakadhalika. Hizi ni bakshishi za kukusaidia ufanye matumizi mazuri ya fedha zako kama ifuatavyo.
1. Tunza kumbukumbu ya matumizi yako makubwa ya lazima unayotumia.
-Matumizi muhimu unayotumia nyumbani ni kama umeme, maji, gesi kwaajili ya jiko, mafuta ya gari au pikipiki unayotumia kwenda kazini au sehemu mbalimbali na mahitaji yako mengine ya kila siku. Ni muhimu ujue matumizi yako ya siku ili ufahamu ni kwa namna gani utatumia pesa yako, ukiwa na kumbukumbu ya matumizi yako ni rahisi kujua kama unaendelea na matumizi mazuri au umezidi kutumia pesa kuliko kiwango cha pesa unachoingiza.
2. Punguza matumizi ambayo siyo ya lazima.
-Hii ni sababu kubwa ya watu kulalamika kuwa hawajui pesa zao zinapotelea wapi lakini ukichunguza kiundani utagundua watu wengi huwa tunanua vitu vingi sana ambavyo sio vya lazima kuliko vile muhimu ambavyo hatuna budi kuwa navyo. Nunua vitu kwa sababu sahihi kwa matumizi yako.
3. Unapokwenda kufanya ununuzi wa vitu mbalimbali, tengeneza orodha ya vitu unavyotaka kwenda kununua.
-Kuwa na orodha ya vitu unavyokwenda kununua kama ni supermarket au sokoni. Kwa kufanya hivyo utaepusha kutokununua vitu ambavyo hukupanga kuvinunua hapo kabla. Angalizo usiende supermarket au sehemu yeyote ambapo wanauza vyakula ukiwa unahisi njaa maana utapokwenda ukiwa na njaa unaweza kutamani vyakula na vitu vingine vingi ambavyo hukutegemea kuvinunua.
4. Kuwa na mpango mzuri wa kutumia pesa zako kwa kuwa na bajeti.
-Bajeti ndio mpango mzima wa matumizi yako kulingana na kiasi cha pesa ulichonacho, bajeti hukuonyesha kikomo cha matumizi yako hivyo hukusaidia kutumia pesa zako kwa mpango mzuri. Kama hutakuwa na bajeti ni rahisi kwako kutumia pesa kupita kiwango chako cha utafutaji na kupata matatizo ya kuwa na uchumi mbaya hapo baadae.
5. Kama una madeni tafuta namna ya kuyapunguza kidogokidogo.
-Hakuna kitu kinachomrudisha mtu nyuma kimaendeleo kama madeni yaliyokithiri, kuwa na madeni yatokanayo na mkopo au sababu nyingine ni sawa lakini pale mtu anapokuwa nayo mengi kufikia kushindwa kulipa hapo ndipo pabaya. Kopa kwa malengo na mipango mizuri itakayokuwezesha utumie pesa ulizokopeshwa kwa maana nzuri yenye tija. Ni vizuri pia uwaone washauri pamoja na watu wengine wakushauri kuhusu mikopo kabla ya kwenda kuchukua kukopa.
6. Punguza kuweka vocha kwenye simu kwaajili ya maongezi ambayo sio ya lazima.
-Hasa sisi vijana kwa kuchati na kuongea na simu sana ndio kawaida yetu lakini swali linakuja,je ni kweli mazungumzo yote huwa ni yenye ulazima kwetu. Kwa kawaida dakika 3 za kwanza za maongezi huwa ni zenye kutumika vizuri sana kwa kuwa utaongea mambo yote muhimu unayotaka kuongea lakini baada ya hapo maongezi zaidi sidhani kama ni yenye umuhimu. Haya labda umejiunga na huduma za promosheni na kupata SMS au dakika za bure ambazo umeshazilipia na kutumia muda mwingi kuongea, licha ya kupoteza pesa kila siku bali pia unapoteza muda kila siku kwaajili ya kuchat na kuongea na simu pasipo kuwa na tija.
7. Kama una fedha kiasi cha ziada, fungua savings account.
-Ukiwa unaingiza kiasi kikubwa cha fedha za matumizi na kupata pesa za ziada, jijengee tabia ya kuhifadhi angalau asilimia 10 au 20 ya kiasi cha fedha unachoingiza. Pesa zako utakazohifadhi zitakusaidia baadae utapokuwa na uhitaji nazo.

Siri ya kuishi maisha yenye furaha.

Siri ya kuishi maisha yenye furaha.
Kuna wakati unaona maisha yako hayana maana au umechoshwa na maisha, hivi ndivyo tulivyo licha ya kuwa maisha ni yaleyale. Kwa bahati nzuri tunawezabadilika kwa jinsi tunavyoona maisha yetu yalivyo na kwa namna tunavyotaka yawe. Ulishawahi kusikia watu wakisema“maisha yapo tu, ni wewe mwenyewe na maisha yako.’’
Furaha hutegemea sana wewe mwenyewe kuliko vichocheo vingine vya nje vya kimazingira. Ninamaana licha ya kuwa unaona maisha ni magumu huna sababu ya kucheka au kufurahi lakini hizo zote ni sababu unazoziona wewe mwenyewe, ningependa kukuona leo mwenye matumaini na faraja na maisha yako. Huna sababu ya kununa au kuwa mnyonge kwasababu hata ukiwa huna furaha hutatua chochote, ni heri kuwa na matumaini na maisha yako na kutafuta ufumbuzi wa matatizo uliyonayo kwani hiyo ndiyo njia ya kuondekana na maswahibu uliyonayo.
Haya ni mambo kadhaa ambayo yatakusaidia kuwa mwenye furaha na maisha yako licha ya maudhi unayopata kwa watu tunaoishi na kufanya nao mambo mbalimbali ya kila siku.
1. Samehe watu waliokukosea.
-Jua ya kwamba hakuna mtu aliyekamilika, mtu anaweza kukufanyia kitu kibaya ama kwa makusudi au bahati mbaya lakini yote atakuwa amekukosea. Kukaa au kuishi na kisirani kwasababu ya mtu au watu waliokufanyia ubaya kwa muda mrefu kutakuletea matatizo ya kiafya ( depression ) au kuharibu kabisa uhusiano wako na watu uliogombana nao. Kuwa msahaulifu wa maudhi unayopata kwa watu, waelewe na ikiwezekana waepuke lakini usiwe na kisirani nao.
2. Kuwa mkarimu kwa watu wote.
-Ukiwa mkarimu kuna baadhi ya watu watakusema vibaya ili mradi tu watu wengine wakuone mbaya, mchoyo au mtu wa kujigamba. Ni vyema ujue sio wote watakaona wema wako, hivyo usitegemee shukrani sana. Kuna msemo wa kiswahili‘’unasema tenda wema na uende zako’’nina maana ya usitegemeeahsantekupita kiasi kutoka kwa watu. Hii itakusaidia kutojali na kuumia sana pale utakapoona watu hawajachukulia mchango wako kwa uzito ulioutegmea.
3. Chagua kuwa mshindi wa maisha yako.
-Mafanikio yako yanaweza kuvutia watu, utakapo pata mafanikio jua kwamba utapata marafiki wazuri, wasio wa kweli na maadui wachache. Endelea kuwa mshindi na siku zote chagua kufanya mambo yako kwa uhodari na kuamini utaendelea kufanikiwa licha ya watu kukuvunja moyo au kudharau unachofanya. Kumbuka kila mtu anatamani mafanikio ila wachache kama wewe mwenye kujibidiisha ndio washindi hivyo tegemea kupata watu wasiokupenda kwani''mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe.''
4. Kuwa mtu mkweli na muadilifu.
-Hakuna mtu anayependa kudanganywa, kutapeliwa, kutendwa vibaya kwa namna yeyote ile sidhani hata wewe binafsi kama utapenda ufanyiwe hivyo. Malipo ya uadilifu ni watu kukuamini na kukutegemea katika mambo mbalimbali ya kijamii, kikazi au hata kisiasa, watu watakupenda kwa kuwa unaaminika kwa utashi na umahiri wako hivyo wanaweza kukupatia kazi, kukuomba uwaongoze kwa kukupatia cheo kikubwa nakadhalika. Vizuri zaidi hata familia yako nao watakupenda na kuiga mfano wako.
5. Jenga maisha yako kwa kadri uwezavyo.
-Ulichojenga leo kwa muda wa miaka mingi kinaweza bomolewa kwa siku moja na mtu mwingine. Hata hivyo huna sababu kutojenga maisha yako kwasababu ya kuogopa watu wengine, fanya uwezalo kama ni kuboresha nyumba unayoishi, afya yako au kazi inayokupatia kipato kila siku. Usichukulie maisha katika upande mbaya kwa kusema''hata nikitafuta mali nitaziacha hapahapa duniani''hiyo ni dhana mbaya kwasababu hata hao waliotengeneza magari tunayotumia leo kusafiria, wataalamu wa afya wanaotutibu tunapoumwa, wakandarasi wanaojenga majengo tunayotumia kama ofisi kwa kazi mbalimbali laiti nao wasingefanya kazi zao basi leo tusingeweza kurahisisha maisha kama tunavotumia matunda ya kazi zao.
6. Fanya mambo mazuri kwa maslahi yako na ya watu wengine.
-Utafanya mazuri lakini baadhi ya watu hawatatosheka na msaada wako, hakuna haja ya kuwajali sana watu wa aina hiyo maana hawataweza kurudhika kwa chochote utakachowafanyia kiwe kidogo au kikubwa. Saidia kufanya mambo mbalimbali ya kimaendeleo katika mji wako kwani hiyo ndiyo namna ya kuonyesha uungwana wako kwao. Usisahau vilevile kufanya kwako mambo ya msingi katika jamii ndio mwanzo wa kupata mengi kwa watu unaowasaidia.
7. Jishirikishe na kujitolea kusaidia wengine kwa namna yeyote ile.
-Shirikiana kwa hali na mali na watu wengine, huwezi kuishi mwenyewe hata kama una pesa, mali, chakula na kila kitu unachodhani ukiwanacho utakaa mbali na walimwengu. Dunia ya sasa inajengwa kwa kushirikiana hivyo ukitaka kufanikiwa na maisha yako penda kushirikiana na wenzako na kila kitu utapata kutoka kwa kwao.''You receive more by giving more.''amini kila kitu unachotaka kipo kwa watu wengine, ni wewe tu kuwa nao pamoja na kujenga umoja. Huwezi kuwa na kila kitu ila unawezapata vitu utakavyo kwa watu wengine.
WORD OF THE DAY:''Happiness is by ch0ice, not by chance.''

Umefanya nini kipya wiki iliyopita?

Umefanya nini kipya wiki iliyopita?
Leo ni jumapili siku ya mwisho kwa wiki hii kulingana na kalenda tunayotumia. Siku ya mwisho wa wiki ni siku ya kutathmini yale yote uliyofanya, mategemeo yako na mipango yako ijayo. Hakuna kitu kizuri kama kuwa mtu mwenye kusonga mbele vizuri na maisha yako, raha zaidi ni pale mambo yote yanapokwenda sawa kama ulivyopanga.
Haitapendeza kupitisha wakati wako muhimu kwa siku au wiki pasipo kujiuliza mambo kadhaa kuhusu wewe mwenyewe kama:
*.Umefanya kitu gani kizuri wiki iliyopita?
*.Je wiki jana na wiki hii inayoisha umejiimarisha mapungufu yako?
-Labda ulikuwa unaumwa na sasa umepona.
-Labda ulikuwa na hasira sana lakini sasa una amani na mwingi wa furaha.
-Labda ulikuwa mzito wa kutekeleza kazi zako muhimu lakini sasa wewe yu mchapa kazi.
-Labda uligombana na mtu lakini sasa mmepatana kwa kusameheana na kuboresha uhusiano wenu.
*.Je umepanga kufanya kitu gani cha kukunufaisha wiki ijayo?
*.Je umejipongeza kwa lolote zuri ulilofanikisha kwa kuona umepiga hatua na unastahili kujivunia?
*.Je umebuni nini cha kukukuza au kuongeza maarifa yako?
-Labda umebuni mtindo wako mpya wa mavazi unaouona unakupendeza na kuonekana mtanashati kwa watu.
-Labda umejifunza kupika chakula kitamu cha aina yake.
-Labda umebuni mpango mpya wa kufanya kazi zako kwa urahisi hapo awali.
-Labda umesoma kitabu cha kukuongezea ujuzi kazini.
Ukifanya wakati wako unaotumia kwa wiki kuhesabika, utakuwa mtu bora kila wiki unapotathmini maendeleo ya maisha yako. Jiboreshe, kuwa mbunifu na tegemea mambo mazuri hakika utakuwa mtu mwenye furaha na neema tele zitakuzunguka.
WORDS OF THE DAY:‘’To be strong one should have faith in one's self and trust in one's strength. It takes strong heart to overcome every hardship that will come. Have faith in yourself and believe.”

THE 12 REMARKABLE LAWS OF GOOD LEADERSHIP.

The 12 remarkable laws of good leadership.
What does leading yourself have to do with becoming a leader? Everything, actually. There is nothingmore''GOOD''than being your own hero, exploring your talents and using your personal potential at your maximum state. Everybody is a leader of him or herself, imagine you having all power to rule your own wonderful world and share all what is good for you and others.
This is what leadership mean, to serve what is needed and important to others. Before you have eyes on the laws of leadership below take a look on this awesome video of my mentor Robin Sharma interviewed onwhat is meant''TO BE A LEADER''.
1. The Law of Integrity:Great business leadership is characterized by honesty, truthfulness and straight dealing with every person, under all circumstances.
2. The Law of Courage:The ability to make decisions and act boldly in the face of setbacks and adversity is the key to greatness in leadership.
3. The Law of Realism:Leaders deal with the world as it is, not as they wish it would be.
4. The Law of Ambition:Leaders have an intense desire to lead; they have a clear vision of a better future, which they are determined to realize.
5. The Law of Optimism:The true leader radiates the confidence that all difficulties can be overcome and all goals can be attained.
6. Law of Empathy:Leaders are sensitive to and aware of the needs, feelings and motivations of their people.
7. The Law of Resilience:Leaders bounce back from the inevitable setbacks, disappointments and temporary failures experienced in the attainment of any worthwhile goal.
8. The Law of Independence:Leaders know who they are, what they believe in and they think for themselves.
9. The Law of Emotional Maturity:Leaders are calm, cool and controlled in the face of problems, difficulties and adversity.
10.The Law of Excellence:Leaders are committed to excellent performance of the business task and to continuous improvement.
11. The Law of Foresight:Leaders have the ability to predict and anticipate the future.
12.The Law of Power:Power gravitates to the person who can use it most effectively to get the desired results.
Hope you have get some tips on leadership, I would like to hear from you and know your point of view about today's post. Bye for now and see you then.

HIZI NI ISHARA ZA WEWE KUHITAJI MABADILIKO.

Hizi ni ishara za wewe kuhitaji mabadiliko.
Kuna hali ambayo ukiwa nayo wewe binafsi utajihisi kuwa haupo sawa. Hali hiyo ni ya kawaida kwasababu inamkuta kila mtu, kuna siku utakuwa mwenye furaha na amani na siku ningine mwenye kujisikia vibaya kama mtu aliyepungukiwa na kitu fulani. Siwezi sema unajiona kama mkosaji wa kila kitu, hapana. Bali unakuwa kama‘’Mtu Mwenye Kujikataa Mwenyewe Kwa Kila Jambo Unalofanya.”
Hizi ni hisia ambazo ukiwa nazo utakuwa wewe binafsi huzipendi na kujijua kabisa haupo sawa ila ni msukumo wa ndani yako ndio unakufanya uwe hivyo. Kwa maana nyingine hii ni hali ambayo unaweza kuijenga au kuipinga.
Ni sawa kuwa hivyo, huh…huwezi kuwa mwenye‘’GOOD MOOD’’wakati wote na ndio maana tunakasirika pale tunapokosewa kwa kuwa sio wakati wote mambo yatakuwa vizuri. Lakini ikiwa utakuwa katika hali kama nitakazozioredhesha hapo chini basi utahitaji kubadilika. Hakuna kitu kizuri kama kujua udhaifu wako na kujijenga, jitahidi kutorudia kufanya makosa ya mapungufu yako ya jana.Siku ya leo ni LEO fanya mambo mazuri na makubwa kwa kadri utakavyoweza hivi ndivyo namna ya kujitambua na kujijenga.Fanya hivyo kwa wiki, mwezi kisha fanya tathmini. Inamchukua mtu siku 21 (wiki 3) mpaka mwezi mmoja kubadilisha tabia. Jaribu leo kubadilika kitabia na ninaamini baada ya muda huo niliotaja utanipa majibu kuwa umeweza kubadilika na kuwa tofauti na hapo awali.
1. Unakuwa na mawazo mengi, mengine hukutaka hata kuyafikiria badala ya kuwa hapa kimawazo.
-Unaweza kuwa unaongea na mwenzako, unajikuta umehama kimawazo na kufikiria mambo mengine badala ya kumsikiliza vizuri na kuwa hapo kwa wakati huo. Jitahidi kufuata msemo huu‘’Wherever You’re Be There’’.Ni muhimu muhimu uwe makini kusikiliza na kuonyesha uwepo wako kikamilifu mahali popote utakapokuwa.
2. Unajihisi kupinga kitu chochote utakachoambiwa na mtu mwingine na kutaka kushindana hata kama huna sababu ya kufanya hivyo.
-Hii ni hali ya kuwa hutaki kushindwa jambo lolote unaloelezwa hata kama unajijua haupo sahihi. Katika hali kama hii ni heri ukawa mpole na kimya kuliko kuonekana mbishi au mtu usiyeambilika. Kama ukipigiwa simu ukiwa bado upo katika hali mbaya (bad mood) ni bora usipokee na kama unamazungumzo muhimu na mtu ni bora uhairishe mpaka siku nyingine utakapokuwa vizuri kuliko kuharibu mambo.
3. Unaona mahusiano yako na mtu fulani kwa namna moja au nyingine yanakukwaza katika maisha yako.
-Inaweza kuwa ni mpenzi wako, rafiki au jamaa yako kweli anakukwamisha katika mambo yako. Cha kufanya hapo ni kupima ni kwa kiasi gani anakukwaza? Je anaweza kubadilika utakapomueleza na kumpa muda wa kujirekebisha? Je unaweza kumvumilia? Kumbuka hata wewe unaweza kuwa na hali ya kujisikia huhitaji mtu kwa wakati huo hivyo nawe ukawa ni sababu ya kumchukulia mtu vibaya. Ukijikuta upo katika hali hii ni bora utulie na kutafakari kwa ufasaha.Don't Make A Permanent Decision Because Of Your Temporary Situation.Usivunje mahusiano bila kutathmini sababu ya wewe kufanya hivyo. Kuwa na marafiki wazuri ni lulu usiwaache waende.
4. Unajihisi kukereka kupita kiasi kwa kila jambo unaloona halipo sawa.
-Ulishawahi kuona mtu anachukia chochote kilichopo mbele yake?Mfano:Dereva wa gari au pikipiki anagombana na kila mtu anayekatiza barabarani au kukasirika kila anapokutana na shimo au kikwazo chochote njiani. Kama ukiwa katika hali kama hiyo ni vyema ukajua watu hufanya makosa, wachukulie watu kama walivyo na usiudhuke sana na kusumbua kichwa chako kwa kufikiria sana makosa ya watu. Panapohitajika kutoa malalamiko toa na eleza kero zako, panapohitajika kufanya linalowezekana fanya unaloweza kwa manufaa yako na wengine ambao wanatatizwa na tatizo hilo.
5. Kutojikubali kuwa umeshindwa na kujiona hustahili mambo yako kwenda kombo.
-Hii hali huwatokea watu wenye uchu kupita kiasi wa kupata kitu fulani. Sababu moja kubwa inayowafanya watu kuwa hawana furaha na maisha yao ni kutegemea mambo makubwa bila kukubali kuwa wanaweza kushindwa.Any expectation relies on thinking about the positivities and negativities of what you expect.Hatutakiwi kuwa na mawazo mgando kwa kufikiri chanya wakati wote bali tufikirie hasi wakati mwingine. Ndio maana katika malengo tuna PLAN A ikishindikana tunafuata PLAN B, C na njia nyingine mbadala za kutufikisha tunapopataka. Ninachomaanisha hapaDon't Expect Too Much To Become Frustratedthere are other many windows of opportunities for you to win.

5 LESSONS FROM SUCCESFUL PEOPLE. (simple Changes That Creates Amazing Results)

Putting it Into ActionIn short, successful people are able to make simple and small changes to their lives that in time end up in amazing results. Think about some of the small things you can do right now, from today for the next 6 months.
Action point 1:Become smarter. Stop watching TV 15 minutes earlier, or use the commercial break to read and study (this one will do wonders, especially for people who watch TV a lot).
Action point 2:Do something more productive. Get up 10 minutes earlier and use that time for a couple of push-ups, crunches, preparing a good breakfast, or studying.
Action point 3:Stop something bad in your life. For example stop eating that one candy bar at the end of the day. This may not save your health immediately, but by cutting back on your sugar intake each day or week, you will make a difference in your life. You can also replace the word candy bar with coffee, snacks, fast food, etc. and reduce other unhealthy eating habits.
Hope you have enjoyed the tips for success and you will put into action what must be done. Wish you luck and success on your self transformation. See you then.