Kujiamini kwako kutakufanya uonekane wewe ni mwanaume au mwanamke mwenye uhakika na mahiri katika kazi zako. Licha ya hivyo ikiwa utapendeza kwa kuvaa vizuri yani kuwa maridadi na nadhimu utaonekana unajipenda na mwenye utashi wa kufanya vyema katika shughuli zako au jambo lolote lile. Kila mtu huvutiwa na kujiamini kwa mtu katika mambo yake hivyo ikiwa nawe unataka uonekane unajiamini soma hizi njia 19 zikusaidie kuongeza wasifu wako wa kujiamini.
1. Jijengee mazoea ya kuongea kwa sauti kubwa ya kusikika vizuri na epuka kutamka maneno vibaya.
2. Unapokuwa umesimama simama wima, usiweke mikono mfukoni na pia usijiegemeze kwenye kitu kingine mfano meza, ukuta, nguzo nakadhalika.
3. Unapoongea na mtu jipe nafasi ya kutosha kwa kuwa karibu na mtu unayeongea naye bila kumsogelea sana, yatawale mazingira yako. Tumia mikono yako kuelewesha kile unachokisema. Kama umekaa kwenye kiti basi kaa kistaarabu, pia unaweza weka miguu yako mkao wa kukunja nne lakini chunga usijilegeze na kuonekana umejitandaza.
4. Wakati wote jitahidi kutulia bila kujionyesha una wasiwasi. Ondoa wasiwasi unaoweza kukufanya usikae mahali kwa amani. Tulia bila kuhofia kitu chochote, pumua taratibu na utajisikia vizuri mapigo yako ya moyo yatakuwa sawa na mwili wako utapata nguvu.
5. Unapoongea na mtu muangalie machoni kwa kuonyesha uso wa bashasha. Kuwa makini kumsikiliza na tikisa kichwa pale unapoafiki anachokuambia kama ishara ya kuwa unampata na kuelewa anachokwambia lakini usimkodolee macho sana. Unaweza pepesa macho pembeni lakini isiwe mara nyingi sana kuonekana husikilizi au una aibu.
6. Jiheshimu na jithamini uwe mtu wa kuheshimiwa. Watu watakuchukulia kwa namna utakavyojiweka. Kwa kadri utakavyojiheshimu na kujiona wewe yu jasiri ndivyo watu pia watakavyokuona.
7. Unapotaka kuangalia pembeni, zungusha kichwa upande kuelekea mahali unapotaka kutazama bila kujigeuza mwili mzima. Tazama bila kupepesa macho sana kuonekana unahofia kitu fulani.
8. Jitahidi sana kuwa mwenyewe, usitake kuigiza mtu mwingine anachofanya. Unaweza kujifanya kama mtu fulani kwa muda ikiwa tu unataka kujifunza kujiamini na kuwa kama yeye. Lakini utakapokuwa umeshajenga ujasiri ni vizuri ujiongoze mwenyewe kwa kufanya mazoezi zaidi ya kuongeza ujasiri wako. (Mfano kwa kuongea mbele ya umati wa watu, kujieleza na kumshawishi mtu afanye unalotaka nk)
9. Kama unategemea kuwasilisha ujumbe kwenye mhadhara au mkutano (kwa maana ya kufanya presentation) jiandae vyema na mapema kabisa hasa pale presentation inapokuhitaji uwe na notes au muongozo wa nini unatakiwa uwasilishe ili kuepusha kutoweza kusoma na kutamka baadhi ya maneno vizuri.
10. Vuta pumzi kila unapokuwa na hofu ya kushindwa kufanya kitu fulani kisha jiambie "NAWEZA" kisha fanya kitu hicho bila kufikiria kuwa utashindwa.
11. Fanya mambo yako kwa umakini na jiamini kuwa kila kitu kitakwenda vizuri, kwa kufanya hivyo utaonekana kwa watu unajiamini kwa kile unachoweza kufanya. Ni vizuri kujenga hisia za ujasiri ndani yako kuwa UNAWEZA kufanya lolote bila uwoga.
13. Unapokuwa unaongea na kuhisi sauti yako haitoki vizuri, kunywa maji kama unadhani mate yatakuwa yamekukauka na rekebisha koo kisha hesabu 1, 2, 3 mpaka 20 kwa kupaza sauti kwa kadri unavyokaribia kufika ishirini.
14. Unapoongea na mtu/watu zaidi ya wawili, jitahidi kumiliki ujumbe wako kwa kueleza vizuri kile unachosema. Kama hutoweza kusema vizuri ni rahisi mtu mwingine kukusaidia kuelezea hivyo utaonekeana hujajipanga. Jipange vizuri kwa kujua nini unataka kuongea kabla ya kuanza kuzungumza.
15. Ongea kwa kutamka maneno vizuri bila kwenda mbio na jitahidi kutoongea sana. Ongea kwa kiasi kisha tulia kwa sekunde kisha endelea. Hakuna sababu ya kutaka kuongea mengi bila kusimama lengo ni ujumbe ufike kwa wale wanaokusikiliza. Ukiongea kwa haraka utaonekana hufahamu vizuri unachokisema hivyo unataka kumaliza haraka.
16. Onyesha kujipenda kwa kutabasamu au kucheka kila unapofurahishwa na jambo fulani. Amini usiamini tabasamu humfanya mtu aonekane hana wasiwasi wowote kwa kuwa anajiamini.
17. Unapoongea unaweza pia kutumia misemo iliyowahi kusemwa na watu wengine kuhusiana na mada mnayoongelea ili kuongeza msisitizo wa kile mnachokiongelea.
18. Unaposhindwa na jambo jitahidi kutokuonyesha umejisikia vibaya kushindwa. Kukunja sura kwa huzuni au kwa kukasirika baada ya kushindwa jambo fulani kutakufanya uonekane umefadhaishwa na aibu.
19. Ni muhimu kuonyesha uaminifu na uadilifu wako kwa watu. Kujiamini kunaendana na kuaminika. Ukiwa unajiamini halafu huna maana kwa watu ni sawa na kujigamba pasipo kuwa na lolote la kujivunia. Jisikie kuwa wewe ni jasiri na mwingi wa furaha, onyesha uungwana wako kwa watu nao watakuthamini.
Kama unachochote cha kuongeza kuhusiana na mada hapo juu,
tafadhali usisite kutoa maoni yako!
Showing posts with label Maendeleo. Show all posts
Showing posts with label Maendeleo. Show all posts
Saturday, March 8, 2014
Sunday, January 26, 2014
Tips for Making Your Goals Count this Year 2014....II
3. S.M.A.R.T. Goals.
S.M.A.R.T. means Specific, Measurable, Attainable, Realistic, and Time-sensitive.
I really like this acronym, S.M.A.R.T., because we want to be smart when we set our goals. We want to intelligently decide what our goals will be so that we can actually accomplish them. We want to set the goals that our heart conceives, our minds believe and that our bodies will carry out. Let's take a closer look at each of the components of S.M.A.R.T. goals:
Specific:Goals are no place to waffle. They are no place to be vague. Ambiguous goals produce ambiguous results. Incomplete goals produce incomplete futures.
Measurable:Always set goals that are measurable. I would say "specifically measurable" to take into account our principle of being specific as well.
Attainable:One of the detrimental things that many people do - and they do it with good intentions— is to set goals that are so high they are unattainable.
Realistic:The root word of realistic is "real." A goal has to be something that we can reasonably make "real" or a "reality" in our lives.
Time:Every goal should have a time frame attached to it. I think that life itself is much more productive if there is a time frame connected to it. Could you imagine how much procrastination there would be on earth if people never died? We would never get "around to it." We could always put it off. One of the powerful aspects of a great goal is that it has an end, a time in which you are shooting to accomplish it.
4. Accountability(a contract with yourself or someone else).
When someone knows what your goals are, they hold you accountable by asking you to "give an account" of where you are in the process of achieving that goal. Accountability puts some teeth into the process. If a goal is set and only one person knows it, does it really have any power? Many times, no. At the very least, it isn't as powerful as if you have one or more other people who can hold you accountable to your goal.
When you put these 4 key pieces together, you are putting yourself in a position of power that will catapult you toward achieving your goals.
Tips for Making Your Goals Count this Year 2014.
What it makes of you will always be the far greater value than what you get. That is why goals are so powerful - they are part of the fabric that makes up our lives. And goal-setting is where we create our goals.
Goal-setting is powerful, partly because it provides focus. It shapes our dreams. It gives us the ability to hone in on the exact actions we need to perform to achieve everything we desire in life. Goals are GREAT because they cause us to stretch and grow in ways that we never have before.In order to reach our goals we must become better.We must change and grow.
Also, goals provide long-term vision in our lives. We all need lots of powerful, long-range goals to help us get past short-term obstacles. Life is designed in such a way that we look long-term and live short-term. We dream for the future and live in the present. Unfortunately, the present can produce many difficult obstacles. But fortunately, the more powerful our goals (because they are inspiring and believable) the more we will be able to act on them in the short-term and guarantee that they will actually come to pass.
So, let's take a closer look at the topic of goal-setting and see how we can make it forceful as well as practical. What are the key aspects to learn and remember when studying and writing our goals?
1. Evaluation and Reflection.
The only way we can reasonably decide what we want in the future and how we will get there is to first know where we are right now and what our level of satisfaction is for where we are in life. So first take some time and think through and write down your current situation, then ask this question on each key point—is that okay?
The purpose of evaluation is two-fold. First, it gives you an objective way to look at your accomplishments and your pursuit of the vision you have for your life. Secondly, it is to show you where you are so you can determine where you need to go. In other words, it gives you a baseline from which to work.
2. What are Your Dreams and Goals?
These are the dreams and goals that are born out of your own heart and mind. These are the goals that are unique to you and come from who you were created to be and gifted to become. So second, make a list of all the things you desire for the future.
One of the amazing things we have been given as humans is the unquenchable desire to have dreams of a better life, and the ability to establish goals to live out those dreams. Think of it: We can look deep within our hearts and dream of a better situation for ourselves and our families; dream of better financial lives and better emotional or physical lives; certainly dream of better spiritual lives.
But what makes this even more powerful is that we have also been given the ability to not only dream but to pursue those dreams and not just pursue them, but the cognitive ability to actually lay out a plan and strategies (setting goals) to achieve those dreams. Powerful!
What are your dreams and goals? This isn't what you already have or what you have done, but what you want. Have you ever really sat down and thought through your life values and decided what you really want? Have you ever taken the time to truly reflect, to listen quietly to your heart, to see what dreams live within you? Your dreams are there. Everyone has them. They may live right on the surface, or they may be buried deep from years of others telling you they were foolish, but they are there...
Subscribe to:
Posts (Atom)