Monday, July 22, 2013
Thursday, July 18, 2013
SUMU ILIOUA WANAFUNZI INDIA
RIPOTI YABAINI SUMU: Wakati uchunguzi ukibaini sumu kwenye chakula kilichoua wanafunzi 22 India hapo juzi, leo maelfu wamesusia huduma hiyo ya bure mashuleni.
MANDELA ATIMIZA MIAKA 95
SIKU YA NELSON MANDELA: Leo Afrika ya Kusini wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa kwake. Rais Obama amtumia salamu za pongezi, ataka dunia kuheshimu mchango wake.Ni baada ya Nelson Mandela kutoka hospital na sasa yuko nyumbani.
KESI ZA ARDHI ZASIKILIZWA
KESI ZA ARDHI: Mahakama Kuu kitengo cha ardhi kupitia vikao maalum itasikiliza kesi zote za ardhi kuanzia 2004 hadi 2009 kwa siku 30 mfululizo na kutoa hukumu.
Wenye kesi za ardhi zitasikilizwa.
CHAKULA CHAUA WATOTO INDIA
CHAKULA CHAUA 20: Watoto 20 wamekufa baada ya kula chakula cha mchana kinachosadikiwa kuwa na sumu wakiwa shuleni nchini India, wengine 28 wako hospitali.
BENKI YA BARCLAYS HATIANI
BARCLAYS HATIANI: Benki ya kimataifa ya Barclays yapigwa faini ya dola milioni 435 Marekani kwa kufanya hila na kupanga bei isivyo halali katika soko la umeme.Yasemekana benki hiyo iko hatiani kufilisika.
MGOMO WA WAALIMU KENYA WAFIKIA UKINGONI
MGOMO WA WALIMU WASITISHWA: Walimu Kenya wamesitisha mgomo wao na kurejea kwenye mazungumzo saa chache baada ya Serikali kutangaza kufunga shule zote za umma.ni baada ya Rais Kenyatta kutangaza kua waalimu ambao hawataenda kazini watakua wamejifukuzisha shule.
AJALI BASI LA AIR BUS
AJALI: Basi la Air Bus likitokea Tabora kwenda Dar limepata ajali eneo la Miseyu, Morogoro, watu 23 wamejeruhiwa wanne kati yao vibaya, chanzo ni mwendo kasi.
"Mabasi yanatakiwa kupunguza mwendo pindi yanapokua barabarani kwani basi hilo lilikua kasi sana"
asema mmoja wa majeruhi
AJALI BASI LA AIR BUS
AJALI: Basi la Air Bus likitokea Tabora kwenda Dar limepata ajali eneo la Miseyu, Morogoro, watu 23 wamejeruhiwa wanne kati yao vibaya, chanzo ni mwendo kasi.
"Mabasi yanatakiwa kupunguza mwendo pindi yanapokua barabarani kwani basi hilo lilikua kasi sana"
asema mmoja wa majeruhi
Subscribe to:
Posts (Atom)